Anasema alitayarishiwa kila kitu kwenda kusomea uchungaji..Na Mke wake akaandaliwa mafunzo ya Mama Mchungaji.
Alipofika Mungu akamwambia sikukuita uje usome uchungaji,baki ulipo π
IKabidi aanze kwenda kuapologize kwa wote aliowasumbua.
TAtizo mimi mvivu kusoma vitabu..
Nina vitabu vingi ila sidhani kama nishawahi maliza hata kimoja.