hapana chezea simu ya bebeYaani katika vitu siwezi basi ni kutopokea simu ya bebii
Navyoisubirigi kwa hamu π π
Ila ndio nikipokea nakuwa nimekasiriiiika..nimefura hasiraaa
naye kuna sauti akiisikiaga tu anajua huyu mtoto amekasirika.
Hapo likijiongeza tu kidogo basi.
irresistibleHahahaha jizuie tu[emoji16]
Yes you can,, sema itakupa shida mara ya kwanzairresistible
strong urge that you can't control .
Yaani akiona tu naongea haraka kama mhubiri anayetaka amalize haraka π€£ π€£ π€£hapana chezea simu ya bebe
ikiita unajisikia hali fulani hivi ..unakuwa super excited .
hahaha kumbe kuna hadi sauti ya kununa ngoja nichukue notes , nije kumfanyia mtu fulani ππ .
okayYes you can,, sema itakupa shida mara ya kwanza
ππasante
Hahaah anakujua vyema Baba pastaYaani akiona tu naongea haraka kama mhubiri anayetaka amalize haraka π€£ π€£ π€£
Najibu kwa kifupiii
Naye anaongeza maswali yule boya.
Nzuri hatari πWachaaaaa
Kumbe ndio hiii aiseee
Naipendaga mno.
BMI iko kwa red?okay
Acha tu muda huo nifaidi maana muda mwingine naskip meals sana .
Mimi jeuri yangu yoote siwezi kutopokea simu.Hahaah anakujua vyema Baba pasta
na anakupenda mingi mingi .
mie nikiwa na hasira siongei aisee labda iwe siku mbaya ndo nitajibu huyo
Nilikuwa nawaona nayo tu watuNzuri hatari π
haiwezi kuwa redBMI iko kwa red?
hahaah huyo humuonei aibu eehMimi jeuri yangu yoote siwezi kutopokea simu.
Ila nikipokea sasa naongea utadhani ugali umenikaba shingoni.
Kuna muda akikasirika anakata simu ananiacha nipambane na hali yangu.
Hasira zikimshuka muda kidogo tu huyoo anapiga.
Wanachanganya na wanjaNilikuwa nawaona nayo tu watu
Kuna namna wanachanganyiaje sijui..asee inapendeza.
Nikawa ajiuliza sijui ni lipstick ipi.
hahahahaKuna kufumaniwa na ukifumaniwa ni kipigoπππunapigwa kama ngoma
Hii ndio lipstick nzuuri kuliko zoteWanachanganya na wanja
Hii ndio lipstick nzuuri kuliko zote
Thank you, I am happy to hear you feel that way!I am really thankful Tinsley π€
Just humble as always, I feel so proud to have you here..
Be forever blessed