Selfika na JF: Snap it. Show it

Mdogo wangu leo pia si haba umetupia vitu vyako
Mechi gani hiyo?
Boss lady Antonnia njoo utuambie ni mechi gani mnajiandaa kucheza na Wigelekelo ?
Wige Mtu wa knamu gwako Saint Anne mr vocha si unaona wakikaa hata sekunde lazima wanisiane na kakili mwenyewe hawawezi kukaa bila kuqwotiana mr vocha

Itakua wanakua wanafanya mazoezi ya asubuhi ili kujiweka fit labda!!
Mie napambana na hali yangu tyu nimedokaaaajee hapa😉!!
 
Wige nadhani kapepo kamemvaa aje kuharibu kapo yangu.

Nilikuwa singo napigwa na Upepo, yeye alikuwa anapiga rodi trip na kuweka kambi kila kituo.

Sasahivi amesubiri nipo dabo ndo anajidai kuniimbisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…