Hahaha ndioooπ kafanya kazi nzuri kweli lkn inampasa atulie.. am not a photogenic
Flat for life eee πππππ
Uongee nae nn? ππ me sijakosea kitu Iβm sureNitamfata niongee nae, hanaga shida yule shemu wangu
Hahahaa jishaue
Baba Yolly Yolly sikuhizi hunaa mbwembweee kweli kupatwa kwa Mr CarrascoπππSoon as possible Carrasco madevu uchebe
Raha ya komwe uwe mweupe bibi weee [emoji16][emoji16][emoji16]
Nyie yolly yolly [emoji7][emoji7] ana komwe Ila hana kitambi View attachment 2396277
Uje Mbeya AuntieπSawa nikienda Tena nitakwambia wanipeπ
Eti randamka π π πBaba Yolly Yolly sikuhizi hunaa mbwembweee kweli kupatwa kwa Mr Carrascoπππ
Hebu shevu vizuri zikae vizuri nawee zimerandamkaaaaa
Dec nafikiri nikiwa sawa nitakuwa Njombe πuniandalie wa kutosha nitakuja nikuone Mama JuniaUje Mbeya Auntie
Nitakuchinjia
πππEti randamka π π π
Aisee.....
Ndio nipo natupiga msasa wa lisheDec nafikiri nikiwa sawa nitapita mitaa hiyo πuniandalie wa kutosha
Ndio nipo natupiga msasa wa lishe
Dec tunakadedisha kamoja
Utaenjoy Auntie..
Tena hautagundua hata..nitakuroastia vizuuuuri .
Uwii jirani yangu kipenzi πAisee.....
πAisee
Utakuja kujilaumu kuwa ulichelewa wapiππππ
Ndio atashindwa kumpiga Yolly Romance ya kidevu vizuri!πEti randamka π π π
Ukawa mjenzi lini ππMonday βView attachment 2396168
Zimerandamka πNdio atashindwa kumpiga Yolly Romance ya kidevu vizuri!π
Nikitoka nje ntapiga lile vumbi
Jana ulipotea gafla naomba za weekend asee!!Nikitoka nje ntapiga lile vumbi
ooh nipo poaMungu ni Mwema mkuu , napambana na hali yangu, hofu kwako