Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Asante Mkuu
ubarikiwe
Asante Mkuu
Mie mzee tena kijebaaa kichokula chumviii !! Sitaki wadogo zangu wapotee kizembe na dadamkubwa nipo hapa



Santo sana sasa naeza rara vizuuuuureeeeee kabisa...@Tinsley kipenzi Enjoy ✌️✌️✌️😘😘😘♥️!!
Kitaalamu hio inaitwa defence mechanismMie mzee tena kijebaaa kichokula chumviii !! Sitaki wadogo zangu wapotee kizembe na dadamkubwa nipo hapa
👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴All the bests!Aunt tuachie jukwaa, [mention]Tinsley [/mention] njoo huku![]()
🥳🥳🥳🥳🥳🥳 dada oyeee oyeee oyeeAririririririiiiiiiiiii 💃💃💃💃🤸🤸🤸🤸🤸🤸Piga kelele tatru kwa dadaa akee weeee weeee weeeuweeeeeh 😘😘
Tall and dark.. ukorofi ulianza lini 😂Acha shobo
Mali za watu hizi
Halafu hujaambiwa wewe![]()
😂😂Mwenyew nimejishangaa aisee karoho kanadunda kabisa kutamani embe😂😂😂Usiku wote huu 😂
Nipo hapa chiefAunt tuachie jukwaa, [mention]Tinsley [/mention] njoo huku![]()
Nimekula chumviiiii nyingi . mimii huoni nishazeeka kabisa!!Kitaalamu hio inaitwa defence mechanism
Vingi vinakuja vishambaPale ushirika Muccobs hatari Sana Kuna mzee mwenzangu alikwama kwa bint Fulani pale![]()
😁😁 usisahau kuwa na maji pembeni 💦Aisee itoshe tu kula ugali kwa picha ya samaki
cravings hizo 😂😂😂Mwenyew nimejishangaa aisee karoho kanadunda kabisa kutamani embe😂😂😂
Atakua ametingwa acha aenjoy life dear!!🥳🥳🥳🥳🥳🥳 dada oyeee oyeee oyee
hivi Anne ako wapi ?
subiri mida yetu , nitaweka kapichaNibariki pia mkuu![]()
Mda wowote ule umo😂😂😂😂cravings hizo 😂
mie cravings zangu ni nyama 😂😂
Wewe ni shemeji yanguNikikupea utawezana
ooh hakika .Atakua ametingwa acha aenjoy life dear!!