Saint Anne na genge lako la wahuni wa livapool mbona ukipigwa unapotea online nimekusaka Jana mbeya hujaonekana
Elewa tu unapendwaAbeee
kubwa sana mnayoAisee tuna kazi mnoo
Hahahaha mji kimyaaaaaaa nakujua wew mwana arsenal utakua umechukia balaambona genge la wahuni [emoji1787][emoji1787]
Hata Atheno leo hawana kelele za kileleni
Umehamia huku tena[emoji848]Ukiwachumu wanasahau habari za biashara za watumwa [emoji38][emoji38]
Biblia labda mtu awe ananisomea namsikiliza wengine kusoma Soma huaga hatupendi tuupole sana
perhaps utapata baadae huko
soma biblia au kitabu baadae huko utakujia tu
Kwa hizo swagger tu ushamkosaaaa!! Au nasema uongo Tinsley ??[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16];
Nishatuliza mshono kitamboo mie sitaki hekahekaa kabisa!!
Kabisa dogo languWa humu hapana ..
habari ya leo
Sijambo thanaMarhaba hujambo binti [emoji16]
Kaka sio kwa ubaya nilikua namwaga sifa tu siunajua macho hayana paziaUmehamia huku tena[emoji848]
Poa TinMambo dear
Boss ladyππspidernyoka mjumbe sina mpyaa!!
Tinsley naweka alarm nisipitweee!!
Acha Nikapumzishe fuvu langu kwa leo inatosha
Kuonana tu mbona haina shida kabisa hio!Tusitishane Sana bwana mbona mie nimeonana na wadau baadhi aisee full kuenjoy
Arsenal ya babe.. mimi chesii ππHahahaha mji kimyaaaaaaa nakujua wew mwana arsenal utakua umechukia balaa
Ndio narudi nyumbani, toka limeanza nimekuwa kama mzee wa kanisa ππNational Anthem mwanazuoni upo wapi au umebanwa Sana na lile suala [emoji38][emoji38]
Goodnight madamspidernyoka mjumbe sina mpyaa!!
Tinsley naweka alarm nisipitweee!!
Acha Nikapumzishe fuvu langu kwa leo inatosha