Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,290
Jamani jamani mbona majaribu haya naweka alarm kuamka saa nane walai siwezi kukosa selfii ya crush akeee weeeee💃💃😍😍 , yes dear
bahati mbaya sina boyfriend wala mchuchu , ningekuwa nae ningemtupia tu

