Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Alaf madam unatabia mbaya
Kwanini humfundishi mgeni aniite mimi Love anakuita wewe? Sijapenda😔
Tuliaaaaa hivohivooooo✋✋✋!😚 Mambo ado adooo one step at a time. Tunamkaribisha azoee mazingira kwanza ! Asipofundishwa kukuita majina mazuri bosi wetu selfika si wanaselfika wote tukufwe tu!😁!!
 
Back
Top Bottom