Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,578
- 235,424
NaikumbukaSahihi dear
Niliwekaga muda fulani
MmhNipo home mchumba!..leo tupo pamoja na wananchi[emoji4]
Wewe ni mwananchi mwenzangu!π
Kwaraha zakoo βοΈ!Tuliolala ndio tunaamka
Hahah hanipendi ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha dhambi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila kama naye anakupenda basi zidisha maombi.
Watu from no where unashangaa tu wameachana[emoji1787]
Nipo poa vipi wewe ?Hujambo jirani. Unaendeleaje
Poa kabisa jirani...Nipo poa vipi wewe ?
Ila kwenye pombe hatukubaliani MchumbaWewe ni mwananchi mwenzangu![emoji4]
π€£π€£π€£π€£π€£!! Nawewe jibane humohumooo sharing is caring ππ!!Mweh ana mtu wake
Ni uchungu sana ππ
Khaa [emoji23][emoji23][emoji23]Hahah hanipendi [emoji23][emoji23]
Nikae kwa kutulia my dear
Wacha wapendane wenyewe [emoji3526]
Usimpoteze[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Nawewe jibane humohumooo sharing is caring [emoji1][emoji1]!!
Mkomaliee hivohivooo atakupenda mbele kwa mbeleee πππHahah hanipendi ππ
Nikae kwa kutulia my dear
Wacha wapendane wenyewe βΊοΈ
Watapendana mbele kwa mbeleee banaa π€£Khaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni hivyo basi usihangaike naye..Utanishukuru baadaye.
Angalau awe anakupenda.
Mweh najibana vipi na hanitakiπ€£π€£π€£π€£π€£!! Nawewe jibane humohumooo sharing is caring ππ!!
Weee sema Kweli Anne kumbee!!π€π€π€ Sasa kama hakufeel siunajusigeza ivoivo vitaumana mbele kwa mbeleee au!!π€£π€£π€£π€£!!Usimpoteze
Raha ya mapenzi mwanaume akupende kwanza.
Mchumba wake wee hakuhusuuu anahuu jamaa tyuπ!!Mweh najibana vipi na hanitaki
Mchumba wake si atanichamba
Na ambavyo sipendi bughudha
Acha tu the guy ni rafiki yangu kweliKhaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni hivyo basi usihangaike naye..Utanishukuru baadaye.
Angalau awe anakupenda.
Ah wapi!Weee sema Kweli Anne kumbee!!π€π€π€ Sasa kama hakufeel siunajusigeza ivoivo vitaumana mbele kwa mbeleee au!!π€£π€£π€£π€£!!
Najua mchumba!..endelea kuniombeaIla kwenye pombe hatukubaliani Mchumba
Nakuombeaje wakati maombi ulishayapiga chiniNajua mchumba!..endelea kuniombea