Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,579
- 235,432
Pole Ila Mungu ni muweza wa yote .
Nakupa fungu hili toka waefeso na kitabu cha Isaya
Waefeso 3:20 SRUVDC
Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu
Isaya 60:11 BHN
Malango yako yatakuwa wazi daima; usiku na mchana hayatafungwa, ili watu wakuletee utajiri wa mataifa, pamoja na wafalme wao katika maandamano
Mvua tu sijui imetokea wapi aisseHabari safiii tu vipi hapo dsm
Jua Kali Sana ila dar hua pananiacha hoi mvua Haina vipindi maalumuMvua tu sijui imetokea wapi aisse
Vipi huko ?
HakikaJua Kali Sana ila dar hua pananiacha hoi mvua Haina vipindi maalumu
NimekujaaπNgoja sweetheart wangu kipenzi changu Alayna aje sijui mtamwambia nini wewe na Saint Anne
Same here AnneI missed you
Nimemiss kukuonaSame here Anne
πππNchi uhuru umezidi
Ntaweka usiku. UsilaleNimemiss kukuona
Selfika basi
Kijana wa hovyo anajaribu bahati yakeπ¬ππππππ
Nitawahi kulalaNtaweka usiku. Usilale
Kijana wa hovyo anajaribu bahati yakeπ¬πππ
Nottm Forest 1- 0 Liverfool πNitawahi kulala
Naomba sasahivi
UmefuraaahiNottm Forest 1- 0 Liverfool π
Naona umejikausha tuπU
Umefuraaahi