Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,524
- 203,269
Assalam Aleykum myoyambendi
Ndio zimefutika Jioni hii aunt mdogo hiki kimeo 🙌🙌🙌Duh zozote bas tubariki
Nishavua skuna ya kugongea tekeSimu inazingua zimefutika zoteeee 😉😉
Titamwita braza akubondeNdio zimefutika Jioni hii aunt mdogo hiki kimeo 🙌🙌🙌
Kumbe yaani nimegeuza Kwa makini nikaona kitanda kama kimesimama Sasa kilichotuna sielew kugeuza kitanda kimelala nikajiulIza huyu alietokeza kichwa katikati anapumua kweli kucheki vizuri naona pochi mara takyo😂😂😂😂mninunulie miwani aisee😂😂😂 umetisha sana..
Nilisimamq getini pale
Bangi mbaya😂😂😂 umetisha sana..
Nilisimamq getini pale
Nitakulima Hadi mwisho 🤣🤣🤣Saint Anne ondoa uchuro wako wa dislike pullliiizzzzzzzzzzzzzzz 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣😂😂😂Nina bunduki ujueee wee jisahaulishe tu 🤣🤣😁Nishavua skuna ya kugongea teke
Tafadhali usinivalishe😂
We mrembo kale ka selfie ka jana kaweke leo tafadhaliMuache shoga angu leo weekend 😎
Wapi😂😂😂 umetisha sana..
Nilisimamq getini pale
Nimekugeuzia 🤣🤣😂Kumbe yaani nimegeuza Kwa makini nikaona kitanda kama kimesimama Sasa kilichotuna sielew kugeuza kitanda kimelala nikajiulIza huyu alietokeza kichwa katikati anapumua kweli kucheki vizuri naona pochi mara takyo😂😂😂😂mninunulie miwani aisee
Kwanza anakaaje na simu mbovu na braza wako yupo au sio braza ni Anko 😂 au ni mjombaNitakulima Hadi mwisho 🤣🤣🤣
Usitutanie
Gate la kuslide,, labda kule mwisho kwa kushika uslaidishe kulimchanganya 🤣Bangi mbaya
Auntie wetu getini anapaita kitanda
Nimekugeuzia 🤣🤣😂
Ila urefu wa gate kwa kitanda jamani 😆😆 hata kama ni King sizeView attachment 2393919
Saint Anne 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁Hebu nikaombe lift kwa wenye magari yao huku bushi kwanza kuna semina ya mitihani kesho asubuhi nipo tu kukenua selfika sijui hata nitafikaje huko na hakuna mwendokasii wala haisi😁😁Nitakulima Hadi mwisho 🤣🤣🤣
Usitutanie
Itakuwa bhna 😂Gate la kuslide,, labda kule mwisho kwa kushika uslaidishe kulimchanganya 🤣
Weeeeuhh 🤣🤣🤣🤣Umependeza mwaya uko vizuri shemeji analala pazuri sana 😂😂
Usipotuma picha hapa lift huko haupatiSaint Anne 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁Hebu nikaombe lift kwa wenye magari yao huku bushi kwanza kuna semina ya mitihani kesho asubuhi nipo tu kukenua selfika sijui hata nitafikaje huko na hakuna mwendokasii wala haisi😁😁
Narudiiiiii