Bora hata umesema mama Junia mm kuniita aunt wakati bint kabisa under 40 damu inachemka
Honey
Honey bee
Sweetheart
My love
Rouhy
Yote haya aniite aunt kweli ananikwaza sana jamni nachoka 😭 akishindwa kwakuwa kibonge aniite hata gunia la mchele sio mbaya😂