Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna ndugu zetu tunasoma wote vidudu huko ndo hatufaulu wenzetu mnaenda huko tukikutana wanajifanya hawajui kiswahili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yani mtu anakupigia simu anajifanya kiingereza et hajui kiswahili hiv mnatukuchukuliaje sie la Saba BπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kwamba ndo wanakuwa mmesoma uingereza ama πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wana pigo za miaka ya 90

Mimi nikikutana na schoolmate wangu natandika kilugha Cha kikabila safii..achana na kiswahili
 
Mazoea/makuzi labda ila wengine ujuaji usanii / show off tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…