Selfika na JF: Snap it. Show it

Iga ufeeee...iga kunya kwa tembo uchanike msambaaa shauri yako!!
Kumbe Ndiomana nwewe humu unawazoa si mchezo πŸ€”! Hivi humu tu ushafikisha wangapi vileee πŸ€”πŸ€”
 
Hao wanaume watakuwa mandondocha si Bure.

Kibongo bongo niwe tu hata na Mchepuko
Akiyanani yule kaka ataning'oa kiuno.
 
Iga ufeeee...iga kunya kwa tembo uchanike msambaaa shauri yako!!
Kumbe Ndioana nwewe humu unawazoa si mchezo πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Nawazoa??🀣🀣🀣🀣🀣 wacha bana
Madam umetisha
Mimi nimekupa ushahidi tu kuwa wanawake nanyinyi mnaolewa ndoa mbili au zaidi siku hizi ulimwengu umebadilika
 
Nawazoa??🀣🀣🀣🀣🀣 wacha bana
Madam umetisha
Mimi nimekupa ushahidi tu kuwa wanawake nanyinyi mnaolewa ndoa mbili au zaidi siku hizi ulimwengu umebadilika
πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£ Kikao kijacho kinakuhusuuu mr vochaa Wigelekelo keshatoa Alert πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£!
 
Achana naye huyu anachuki zake tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…