Hapo vizuri babu nakuaminia!Hahahaha...........................huwa nawawekea Ile nyimbo ya Starehe ya Ferouzi Ft Prof Jay
Lakini Zana zinapatikana Eneo la Kazi, ni wao kutembea nazo mfukoni tu π€ͺ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!!Hahahaha................najua basi, nadhani Yule Kaka yako Kwa Mjomba ako alishika hii simu alikuwa ananirekebishia Kalenda itakuwa alitype hayo maandishi π€ͺπππ
Hahahaha.........ngoja Miwani yangu ya Kusomea ije, usijali π€ͺπππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!!
Babu umeona mengi buana tuelekeze wajukuu zako pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!ππ€!
Usiwaze kabisa babuu mapema sana tu utacheza na vitukuu vyako!Utafanya vizuri Mjukuu, Babu yako Nina hamu ya kuona Vitukuu vyangu mapema ujue π
SawA vzuriPoa love! Mambo yalienda poa kabisa tulimaliza Salama!
Sawa sis Ngoja mikuchekie hapa!SawA ccy angalia ututumie
Hahahaha......................on knees, waist, and neck.Babu kwani kuna sehemu nyingine ya kuvalia cheni zaidi ya shingoni
Basi niletee na ya waist babu, nijifunze kuvaaπHahahaha......................on knees, waist, and neck.
Ila Wahindi na Waarabu ndiyo wapenzi zaidi wa kuvaa maeneo hayo pamoja na puani.
Yaani mwenyewe anataka aone nini, ngoja sasa achelewe kuja akute mwana si wake atashangazwa.Asante dear ..Lol niliosimama full kabisa sijui kama ipo mamy sema Ngoja niangalie vizuri mr vocha anataka aone nini tena!ππ€
Asante dear!!πYaani mwenyewe anataka aone nini, ngoja sasa achelewe kuja akute mwana si wake atashangazwa.
Ila hilo gauni, wazungu wanasemaga 'Perfect'π
Fanya kama alivyoelekeza boss mkubwa Lenie madam kuna vitu hutaki nione ee?Asante dear ..Lol niliosimama full kabisa sijui kama ipo mamy sema Ngoja niangalie vizuri mr vocha anataka aone nini tena!ππ€
LikowapiYaani mwenyewe anataka aone nini, ngoja sasa achelewe kuja akute mwana si wake atashangazwa.
Ila hilo gauni, wazungu wanasemaga 'Perfect'π
Kumbe ishafutwa, ulikua mitaa gani chalii angu, umeniangusha ujue.Likowapi
Likowapi
Mbona silioni?