Selfika na JF: Snap it. Show it

Aaah Asante kwa ufafanuzi Sasa mtu ulimtuma mahali akitoka kanisani kwake apitie mahali Fulani akanunue kitu Sasa anarudi anasema Ile hela 200k yooote katoa sadaka ya kujimaliza ,,hivi huyo nabii nikimuibukia arudishe muamala ntakua nakosea
Utakuwa unakosea maana kila mtu anatoa pale alipoguswa

Kwake yeye hiyo bunda aliyofunga pengine ilikuwa na thamani kuliko bunda nyingine zote
Na Mwamposa halazimishi mtu kutoa hiyo sadaka..ni jinsi mtu mwenyewe anavyoguswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…