Selfika na JF: Snap it. Show it

Eti Saint Anne sadaka ya kujimaliza ndio ikoje ? Kuna mtu kachezea hela hapa analeta habari kulikua na sadaka ya kujimaliza nataka nijifunze kwanza toka kwa wanazuoni kabla sijamfikia
Kama upo Mule Kanisani,
Ukishika Wallet yako unatakiwa uchukue hela yenye thamani kubwa kuliko nyingine zote ndio uitoe.
Mfano;
Kama una note ya elfu 5,2,1 kwenye wallet yako,
Hapo sadaka ya kujimaliza ni elfu 5.


Mistari anayoisimamia
"YEYOTE AIOKOAYE NAFSI YAKE ATAIANGAMIZA,
NA YEYOTE AIANGAMIZAYE ATAIOKOA"

Ile Sadaka inayouma sana na yenye thamani kubwa huleta matokeo haraka.
 
Okay dear sis
Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeeerereerereeeeee 😘😘😘😘😘😘😘😘!
Mwanamke lippppsss lippsss za kunyonywaaaaa πŸ˜›πŸ˜›πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ!
Santo sana mamy sasa naweza endelea na shughuli Zangu vizuuuuureeeeee kabisa!!!
Barikiwa sana 😘😘
 
Ngoja tumuonyeshe mfano Mkuu Black Sniper
Awwwwwwwwwwwww😍😍😍😍😍😍😍! Mtoto jichooo jichooo nyieeeee selfika ina waremboooo ni wakyutiiii balaaaaaa β™₯️β™₯️β™₯️β™₯️β™₯️!!! Na miwani imekutoaajeeeeeeee😘😘✌️✌️!
Shukrani sana hakii leo nitarara vizuuuuureeeeee kabisa!!!β™₯️
 
Asante madam wetu mrembo wa selfika
😍😍😍😍😍❀️❀️❀️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…