Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Tunajifunzia mitandaoni humu humu .Hiyo sekta mimi ni mweupe pee!
Tunajifunzia mitandaoni humu humu .Hiyo sekta mimi ni mweupe pee!
Mimi hata kujifunza sitakiTunajifunzia mitandaoni humu humu .
SawA mtumba nakutumia picha uchague....... si ni rangi yyte tuKushona nishachelewa sis mie sivaagi za Special napenda mtumba!!
Mimi napenda hayo mamboMimi hata kujifunza sitaki
Asante dear Ngoja badae nitajaribu nilizonazo nione itayonipendeza!Una rangi nzuri ya kung'aa naona kila rangi itakupenda .
Unaweza chagua rangi ya peach , lavender ,baby yellow emerald green .
Ndio rangi yoyote niangalie nguo nilizonazo hapa ..utanitumia nione pia Santo sana sis akeee 😘SawA mtumba nakutumia picha uchague....... si ni rangi yyte tu
Kama mie tu hapaHiyo sekta mimi ni mweupe pee!
Okay dear 😊Asante dear Ngoja badae nitajaribu nilizonazo nione itayonipendeza!
Ccy njoo tsupNdio rangi yoyote niangalie nguo nilizonazo hapa ..utanitumia nione pia Santo sana sis akeee 😘
Ccy nmemaliza kila kitu huko tsup..... naomba na ww nitumie ulizonazo nikuchagulie...Ndio rangi yoyote niangalie nguo nilizonazo hapa ..utanitumia nione pia Santo sana sis akeee 😘
Sis hizi pamba zako ni Nouma nanusu uwiiiiiiiii! Magauni ni mazuriii mnoooo mnooooo Asante sana sis!Ccy nmemaliza kila kitu huko tsup..... naomba na ww nitumie ulizonazo nikuchagulie...
Kwani ana msibaMadam Mkemia MC wetu weweeee![]()
![]()
![]()
Vaa gauni kali lile jeusi la kunata


Una ka kiburiMimi hata kujifunza sitaki
Tayari nina KajuniaUna ka kiburi
Unatakiwa utotoleshwe chap
Akili ikukae
Rangi nyeusi inawakaKwani ana msiba
Ukoje![]()