Maisha tu yananichosha dear .Weee Juzi niliona umenenepaa!! Umebadili mafuta???
ivoivo nikuone ukiwa na baridi unakuajee!๐Kuna baridi hadi naogopa kufumbua macho
Ngoja nichukue simuFanya hivoooo bana ila isiwe siasa zako Anne [emoji3526]
[emoji91][emoji91] tuma namba niku mpesa hio lips balaa
Everything gonna be okay dear๐ life fucks us all sometimes!!Maisha tu yananichosha dear .
Mafuta yenyewe natumia basi ๐๐
Napakaaga ya nazi mda mwingine na haya Vaseline
Tar 23 Nina kazi na wew utajifunza kituLeo niko na Liver
Hao thimba wa mchongo mechi inayofata wanatoka kama wenzao
Santo sana mamy .. walau usiku Wangu Utaenda vizuri sasa๐๐!
Thank you aiseeEverything gonna be okay dear๐ life fucks us all sometimes!!
Ya nazi nilisikia ni mazuri eti sema Mie sura Yangu ya mafutaa sasa nikipaka ya nazi nakua kama kitumbua๐!
Aunt ๐๐
Nitajaribu mara moja nione!Thank you aisee
Ya nazi ni malaini sana , so vile unanukia kama katoto ๐ .
Unaweza paka mwilini , kupata kaharufu kazuri .
Watu na lipssssss zenyuuuuuuu matraaatraaaaa sanaaaa jamaniiiii!! Looking so mmmuaaahhhhh๐๐๐!Madam hii apa
Kumbe Kuna wabinti wazuri hivi humuMadam hii apa
๐๐ Nasubiria hapaaaNgoja nichukue simu
Thank you sis ๐ฅฐ๐Watu na lipssssss zenyuuuuuuu matraaatraaaaa sanaaaa jamaniiiii!! Looking so mmmuaaahhhhh๐๐๐!
Yanii Wazuri mnooooooo!Kumbe Kuna wabinti wazuri hivi humu
Nitaweka kambi rasmiYanii Wazuri mnooooooo!
Aririririririiiiiiiiiii ๐คธ๐คธ๐คธ๐คธ๐๐Santo sana kipenziiiii ๐!Thank you sis ๐ฅฐ๐
Wewe pia unapendeza , madam wetu mrembo wa selfika โค๏ธ
Camera ilinipenda siku hiiKumbe Kuna wabinti wazuri hivi humu
Mbona hupambani kunipata[emoji848]Ni maombi tu hapo hakuna asilo weza Mungu .
Nampenda Ruth wa bibilia alivyompambana kumpata Boaz.
Hapo alipomwambia mama mkwe wake
Ruth 1:15-16
[15]And Naomi said, See, your sister-in-law has gone back to her people and to her gods; return after your sister-in-law.
[16]And Ruth said, Urge me not to leave you or to turn back from following you; for where you go I will go, and where you lodge I will lodge. Your people shall be my people and your God my God.
Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee!๐คธNitaweka kambi rasmi