Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Mashimo alisema atamfufua🤣😁😁😁😁 Fufua katibu, katibu aseme ukweli
Mashimo alisema atamfufua🤣😁😁😁😁 Fufua katibu, katibu aseme ukweli
😄😄😄😄😄 Eeeh! Katibu aseme ukweliMashimo alisema atamfufua🤣
Wewe si ndo mtaalamu na kuzunguka dar tafuta tu sehemu yoyote nzuriChagua sehemu nzuri dada yangu twende ili uenjoy vizuri vizuri 😊😊
Hayo maswala umeyajulia wapi😆😆😄😄😄😄 Niambie mwanangu
😊😊😊 Nitakupeleka sehemu nzuri kabisa tukale upepo na chakula kitamuuWewe si ndo mtaalamu na kuzunguka dar tafuta tu sehemu yoyote nzuri
Nimeweka hapa ili nielewe tuu maana yake, wanaita vipipi 😄😄😄Hayo maswala umeyajulia wapi😆😆
Sawa haina shida tusubiri😊😊😊 Nitakupeleka sehemu nzuri kabisa tukale upepo na chakula kitamuu
Haya ukijua na mimi naomba nielewesheNimeweka hapa ili nielewe tuu maana yake, wanaita vipipi 😄😄😄
Nakuaminia jembe langu, ratiba hazito ingiliana 😁😁Sawa haina shida tusubiri
Nishaambiwa kuna chakula kitamu sasa ratiba zitaingilianajeNakuaminia jembe langu, ratiba hazito ingiliana 😁😁
Mie tena, navyopenda kufundisha, nitanunua kabisa na ubao mweupe na karamu zake nimwage lecture 😁😁Haya ukijua na mimi naomba nieleweshe
Ewaaaa namnaa hii 🤗🤗🤗🤗 nafsi lazima ifurahiNishaambiwa kuna chakula kitamu sasa ratiba zitaingilianaje
Sawa haina shida nasubiri kiongos 😆😆😆😆I catch up easily na vitu vipya vizuri vizuriMie tena, navyopenda kufundisha, nitanunua kabisa na ubao mweupe na karamu zake nimwage lecture 😁😁
😄😄😄 Nakuelewa sana genius wanguuu.. brain ipo active sana hiyo, una elewa kuliko mwalimu anaekufundisha.. Yaani hapo hapo mwalimu anakuwa mwanafunziSawa haina shida nasubiri kiongos 😆😆😆😆I catch up easily na vitu vipya vizuri vizuri
😆😆😆😆😆😆😆sasa we kuweshindwa??? Tuvitu tutamutamua kama hutoooo😆😆😆😄😄😄 Nakuelewa sana genius wanguuu.. brain ipo active sana hiyo, una elewa kuliko mwalimu anaekufundisha.. Yaani hapo hapo mwalimu anakuwa mwanafunzi
Kama class unapiga banda la A++ iwe hutu tu tuvitu tudoga, unachapa kabisa A+++ pro max😆😆😆😆😆😆😆sasa we kuweshindwa??? Tuvitu tutamutamua kama hutoooo😆😆😆
😂😂😂Mm nikajua ni marudio kuangalia vizuri looh😂Yanga mna nini lakini chuma teari![]()