Utakatifu wa kusema et hamchepuki haupo na hata ukiwepo kwenye mia mmoja tu na ukweli wanawake wengi kwenye ndoa wamekubaliana nao japo unauma na nina experience na Hilo ninamama wa hiyari ana miaka 40 kwenye ndoayake na mumew alichaeat na mifano mingi ya rafikizake waliowahi kukutana na adha hiyo Tena enzi izo simu hamna
Nyie mtatuambia nn muhimu tuheshimiane