Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Sasa kama ni hivo maana yake tusitafute pesa na wanaume zetu ama ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nyie tafuteni nao tu .
Yani hapa tunasemea umepata tu zali kukutana na mtu wa aina hiyo .
 
Yaani Mimi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚future husband anipange kabisa mama tutapambane tupate pesa ama nipambane na umalayawake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚nijue naenda na kipi
Future hubby aje ๐Ÿฅฐ
Mpange mapema mambo
 
Yaani Mimi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚future husband anipange kabisa mama tutapambane tupate pesa ama nipambane na umalayawake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚nijue naenda na kipi
Nina swaliii๐Ÿ‘†
Utapambanaje na umalaya wake ndugu mjumbe???
 
Navumilia kukosa Hela na kma ni umalaya nivumilie umalaya pekee sio vyote maisha yenyew mafupi haya
Hudhani kuvumilia hyo tabia yake ni chanzo cha yeye kufanya zaidi kwa excuse kwamba wife hana noma as long nimeacha kibunda ndani[emoji16]
 
Nina swaliii๐Ÿ‘†
Utapambanaje na umalaya wake ndugu mjumbe???
Swali zuri hekaheka za.mwanaume Malaya huzijui ndugu presha ndogo ndogo na kuzimia mara Kwa mara ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mara umemfumania mara hajalala nyumbani mara kahamia Kwa ashura Kwa tabata๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚hizo kazi dada sio ndogo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ahaa nilikua Sijaelewa vizuri sasa nimekupata mjumbe!
Santo sana kwa ufafanuzi!
 
Hudhani kuvumilia hyo tabia yake ni chanzo cha yeye kufanya zaidi kwa excuse kwamba wife hana noma as long nimeacha kibunda ndani[emoji16]
Kuna kuchepuka alafu Kuna umalaya kuchepuka hakuna mwanaume hachepuki na wengi wanaheshimu familia zao alafu Kuna umalaya ndo nachoongelea mwanaume Malaya
 
Hapo hadi jamaa akupende otherwise unapangwa zako fresh. .
Nyie wanaume mna mambo yenu .
Sio akupende tu mjumbe ... akupende Kweri kweri tenaaaa kama hauna maajabu yoyote hapo utaishia tu kusema nhiiiiiiiiiiiiiiiiiii โ˜บ๏ธโ˜บ๏ธโ˜บ๏ธ..
Nimekazia tu Wajumbe naendelea kunukuu โœ๏ธ
 
Sio akupende tu mjumbe ... akupende Kweri kweri tenaaaa kama hauna maajabu yoyote hapo utaishia tu kusema nhiiiiiiiiiiiiiiiiiii โ˜บ๏ธโ˜บ๏ธโ˜บ๏ธ..
Nimekazia tu Wajumbe naendelea kunukuu โœ๏ธ
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Nimecheka
 
Mtu anapita mpaka na majirani rafikizako๐Ÿ˜‚
Na Hana kujificha ukikaa vibaya Hadi nduguzako
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Hainaga usemejii...๐Ÿคญ
tunapita nae tyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ