National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
π€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈ Usipo vimba hupati Kitu brother, na anapotoboka anaisha, tunajikuta tunaishi kwenye cycle ya mikopo. Nahisi kungekuwa na misamaha ya kodi kwa level.Hapo bado hajakatwa PAYE, Loans Board, Social Security Fund na tozo nyinginezo......
Ukizingatia mfumuko wa bei ulivyo sasa, mshahara ukitoka tarehe 23 haufiki tarehe 10.....
Hapa sasa, ndiyo ujanja mwingine nje ya mshahara ndiyo inabidi uhusike ili kukutoa kwenye kadhia.....
Bahati mbaya sana na vijana wenyewe wanataka kuvimba kwa mwanamke kwa mshahara wa PGSS-7......
Unataka umtoe mtoto gani lunch wewe jamaa..... π πLunch time
Nitumie picha kwanza nikuambie πrafiki hapa cjaelewa lugha gani hii
dah
- Life is either a daring adventure or nothing at all.
Simba mwenda pole huyo π€ π€ itakuwa anamaliza huko kimya kimya, wenye kelele hapa tunapitwa tuuUnataka umtoe mtoto gani lunch wewe jamaa..... π π
nimekutumia pmNitumie picha kwanza nikuambie π
Usijali shangazKesho mapema tu shangazi, usiniangushe πππ
Mmhh sijaona hatanimekutumia pm
hahahaha,sio mby pia mkuuUnataka umtoe mtoto gani lunch wewe jamaa..... π π
Nakubaliana kabisa na wewe kaka, kuna mambo inawaumiza sana wananchi, hasa hizi kodi za ajabu-ajabu. Japo lazima nikiri kwamba vijana wengi wa kitanzania hatuna nidhamu ya matumizi ya fedha, kwasababu hatukufundishwa matumizi tangu utotoni (Hili ni tatizo) tunatumia juu ya uwezo wetu, hatuweki akiba na tuna madeni mengi sana ya vitu visivyo vya msingi.....π€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈ Usipo vimba hupati Kitu brother, na anapotoboka anaisha, tunajikuta tunaishi kwenye cycle ya mikopo. Nahisi kungekuwa na misamaha ya kodi kwa level.
Alie Anza ajira fresh, wangepumzisha baadhi ya kodi hata kwa miaka miwili. Au anae jianiri mzawa msamaha wa Aina flani za kodi hata miaka miwili. Kidogo kuacha nafasi ila kuwa na strong monitor kwenye vipato kikifika kiwango hata kama miaka miwili haijaisha anaweza wekwa kwenye mfumo wa kodi ila kuna kuwa na baadhi ya mazuio..
Ila acha tuishi, mwisho wa siku lazima tuwe na mawili mfumo utupokee au utupokee mfumo
kweli?Mmhh sijaona hata
Siyo mbaya kabisa mkuu, Sharing is caring.....hahahaha,sio mby pia mkuu
kweli?
hahahaha,week end hiiSiyo mbaya kabisa mkuu, Sharing is caring.....
Peleka mtoto lunch bwanaa.....
Enjoy your weekendhahahaha,week end hii
YEAH, we make the most of it.......hahahaha,week end hii
Tunarudi mwanzo, ukiwa na life partner au mwenza wa kudumu rahisi sana ku save na kwenda mbele kimaisha, ingawa sio constant inaweza change. Kale ka msemo kanasema mwanaume anaefanikiwa nyuma kuna mwanamke strong na mwenye akili kana sound.Nakubaliana kabisa na wewe kaka, kuna mambo inawaumiza sana wananchi, hasa hizi kodi za ajabu-ajabu. Japo lazima nikiri kwamba vijana wengi wa kitanzania hatuna nidhamu ya matumizi ya fedha, kwasababu hatukufundishwa matumizi tangu utotoni (Hili ni tatizo) tunatumia juu ya uwezo wetu, hatuweki akiba na tuna madeni mengi sana ya vitu visivyo vya msingi.....
Kuna mtu anapata mshahara wa 1,000,000 lakini ana madeni, ila kuna mwingine anapata mshahara wa 500,000 lakini anaishi vizuri kuliko mwenzake. Nidhamu ya fedha. Haya ya kuvimba, inabidi upunguze kabisa, kama unataka uwe na maisha mazuri mbeleni. Kuna wakati unafika huna haja ya kuvimba, maana mzigo upo na unaonekana tu. WATAJILETA WENYEWE TU..... π π π π π
karibu rafikiEnjoy your weekend
Thank you πkaribu rafiki