Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,404
Kweli umefanikiwa kuwaconfuse aiseee!!Nimefika huku kwa Wapemba kila mtu ananishangaa imekuwaje leo πππ
Nataka tu kuwa-confuse kidogo alafu narudi zangu nilipotoka ππ
Umewahi jaribu?Siwezi mama Junia
Vitamu mbona vingi tuuπ
MweeeSinilikwambia uwe na subra ukakataa ππππ
Z'bar πππ
Watu wamenatana ππππ Umeona nini hapo
Nitakufundisha dearHizohizo Auntie, Mimi sijui.
πππKweli kbsa single muuliwe tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2386808
Urudi na ubuyuπ
Hahaaha kumbeAmenituma nije kwa niaba yake
Yeye mahaba yamemlemeaπ
πππ Kuamka saa ngapi
Nitabeba debe zima nije niwagaieππUrudi na ubuyuπ
Namtazama tuu
Mapumziko kazi ikiisha πIla we unaruhusiwa kulala.....Namtazama tuu
Kuamka saa Sita mchana ππ
Mapumziko Kazuma tupumzike
Utaniamsha kesho ππMapumziko kazi ikiisha πIla we unaruhusiwa kulala.....