Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Haiwezekani akaenda kunyetuka nayo bureBora aunt unisaidie
Naye akupe ya kwake
Haiwezekani akaenda kunyetuka nayo bureBora aunt unisaidie
Aaaaahhh nitatuma ngoja kwanza ya aunt yako ifanye kazi ninayoitaka.Hufai
Haya,Selfika basi na sisi tukaitumie ya kwako.
Kweli aunt aweke na nijue naifanyia nn😂Haiwezekani akaenda kunyetuka nayo bure
Naye akupe ya kwake
Mpwa uko vizuri mzima lakin?
Tit for tatAaaaahhh nitatuma ngoja kwanza ya aunt yako ifanye kazi ninayoitaka.
KabisaKweli aunt aweke na nijue naifanyia nn😂
Niko poa mpwa. Yeah! Utumbo na ugali hunitoi 😁😁😁Mpwa uko vizuri mzima lakin?
Nilikumiss Leo nilipika michembe nishakua wa kwenu 😂
Sema kwa lips za aunt yako zilivyo nisiseme sana. Ngoja nitume hapa moja.Tit for tat
Wakati unateleza nayo,Mpe Auntie naye ateleze na yako
Aisee!!😂😂Dokta asije akalia Tena nimepika ya kutosha 😂watu was daslam utasikia nn Hiki😂😂View attachment 2386437
Nilifikiri unatania mpwa. Kumbe kweli? Jiandae kunipikia soon. Sijala michembe karibia miaka 6 dah!😂😂Dokta asije akalia Tena nimepika ya kutosha 😂watu was daslam utasikia nn Hiki😂😂View attachment 2386437
Tuma harakaAaaaahhh nitatuma ngoja kwanza ya aunt yako ifanye kazi ninayoitaka.
Mimi nampokelea Auntie hiyo pichaSema kwa lips za aunt yako zilivyo nisiseme sana. Ngoja nitume hapa moja.
😂😂Nataka nibaki huku huku tuNilifikiri unatania mpwa. Kumbe kweli? Jiandae kunipikia soon. Sijala michembe karibia miaka 6 dah!
Dokta hana chake (japo sipati picha akija hapa! 😁😁😁)
NasubiriSema kwa lips za aunt yako zilivyo nisiseme sana. Ngoja nitume hapa moja.
Niko siriazi halafu...Michembe dah!😂😂Nataka nibaki huku huku tu
Nitakupikia mpwa na maziwa yatakuwepo
Asipite mitaa hii dokta 😂
Karibu sanaNiko siriazi halafu...Michembe dah!
Dokta ni mwelewa hatamaindi kivile.
Asante mpwa.
Natuma.Nasubiri
Machale mjukuu. Napenda sana utumboUmejuaje babuView attachment 2386451