Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa hivi hata Carrasco putin keshalala na Yolly Yolly wake. Vocha zinadoda tu hazina wenyewe.

Kwema lakini nkamu? Katikati hapa ulipotea kidogo mpaka vocha zikaadimika. Natumaini kila kitu kiko poa 🙏🏿
Mzee wa Yolly Yolly atakua anaapa kwa herufi kubwa wakati huu🤣
Niko salama mkuu
Kamtaji kaliyumba kidogo ikabidi niwasahau wadau kwa muda chief
 

Father of a Nation​

121461911_676551999632950_1445353080825259550_n.jpg

Happy Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Day (13 April 1922 Butiama Mara Region, Tanganyika - 14 October 1999 (aged 77) London, United Kingdom)
 
Back
Top Bottom