Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,582
- 235,437
Raha ya dunia pesa
Aririririririiiiiiiiiiiiiiiiiiiπππππ namie nimepiga hata kama mi sio mdogo wako utajua mwenyeweeeeπππ€£π€£!!Mdogo wangu piga vigele gele tu kabisa
Mwambie mrembo akija Mbeya asisahau kupita Nzovwe pale ukweniπ
Anayebisha ajeKhaaaa hahaaaa
Atanikuta standMdogo wangu piga vigele gele tu kabisa
Mwambie mrembo akija Mbeya asisahau kupita Nzovwe pale ukweniπ
Washamba tu ππΎββοΈArsenal
Walinifurahisha[emoji1787]
Haya fanya kuibles weekend yangu mkuu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!βΊοΈWeekend umeianza mapema sana mkemia
Ni maumivu ya tumbo na mgongo....but wametupa majibu Tatizo ni typhod mom....nadhani ni maji si unajua watoto tenaAsante
Shida nini Nkamu?
Poleeee sana,Nipo na Mwanangu maranatha hapa,njoo unitembelee mkuu
Niko ugenini huku ngoja kwanza nisome mazingira wananzengo wasije wakanifukuzaHaya fanya kuibles weekend yangu mkuu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!βΊοΈ
Asante sana cute wanguPoleeee sana,
Siasaaa kama Saint Anne jamanee ππ!! Tupe hata za zamani πNiko ugenini huku ngoja kwanza nisome mazingira wananzengo wasije wakanifukuza
Mwee poleNi maumivu ya tumbo na mgongo....but wametupa majibu Tatizo ni typhod mom....nadhani ni maji si unajua watoto tena
Babu la mchongoUsijali Mjukuu, nitakuhadithia chote [emoji847]
Amina, barikiwa sana πMwee pole
Mungu amponye haraka
MbaliziUmefuraaahi?
Utanikuta Mbalizi
Nazionea wivuAtanyonya mtoto nikizaa..
Sidiria tu inazibinya zimevimba..kunyonywa si ntaumia kabisa[emoji3064]