Ndio izoizo! Acha tu mdogo Wangu! Wametuonea mnooo! Primary wanakula shavu saivi wanefurahii balaa!Ndio zile mnasimamia la 7?
Ila wamewaonea walimu wa Sekondari .
Huwa naona sister analalamika sana,wakati mwingine anafurahi.
Asante sana kwa kutubariki ma eataimu wana selfika mr Vocha!!Selfika na #airtel#
*104*33575285604247#
Likewise!
Nzuri kabisa, nimependa tuvidole madam!Mambo , habari ya leo ?
Lakini nyie si ndio mlilalamika kwamba wanaachia watoto mno wanaiba.Ndio izoizo! Acha tu mdogo Wangu! Wametuonea mnooo! Primary wanakula shavu saivi wanefurahii balaa!
Kumbe tunafanana.Likewise!
Li line langu la airtel halisomiSelfika na #airtel#
*104*33575285604247#
Wakisema chagua viwili mimi nachagua hela na chakula.Hela , chakula , na nyimbo ni muhimu sana kwangu .
UlivyoshibaUone nini ?? Tumbo au??🤔🤔
Aaah wapi, tupo kileleni hadi barafu. Kaa kwa utulivu Anne.Kumbe tunafanana.
Ibanidi uhamie na Liver sasa.
Labda liwe kubwaLitakutosha sasa....??😎
Hapanaaa banaa! itakua huko top ndio waliona hilooo wakaamua ku switch! Tulilalamikaje wakati walikua wanasimamia wenyewe kwa Wenyewe!!! Sio poa kabisa yani!Lakini nyie si ndio mlilalamika kwamba wanaachia watoto mno wanaiba.
Wakaamua wawape muwasimamie wenyewe.
Sasa si ili tuwe uniform kabisa unahamia liverAaah wapi, tupo kileleni hadi barafu. Kaa kwa utulivu Anne.
Hahaha, mkuu umenibamba! Ila ile si baada ya kushiba ubwabwa-maharage, kuwa na mapene ya kutosha, kucheki arsenal na gospel za kutosha.Kwaile fantasy yako[emoji848][emoji848][emoji848]????[emoji16][emoji16]
Habari ya saii mkuu[emoji113]!
Tukiwa uniform utashangaa namba ile imeingiaje[emoji1787][emoji1787]Sasa si ili tuwe uniform kabisa unahamia liver
Ngoja gesi ipungue nipate pozi la kunyanyua kamera nipige foto! Saivi Bado nimeshiba sanaUlivyoshiba
Walimu wa primary wanafanyia watoto mitihani.Hapanaaa banaa! itakua huko top ndio waliona hilooo wakaamua ku switch! Tulilalamikaje wakati walikua wanasimamia wenyewe kwa Wenyewe!!! Sio poa kabisa yani!
Ipi???Tukiwa uniform utashangaa namba ile imeingiaje[emoji1787][emoji1787]