Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,405
Gauni la 3 naliongeza kwenye ile listNikukute wapi....??
View attachment 2385660
Imagine yale mapochopocho ya sophy27 mjomba!π€π€π€ Afu Sweetmadame hana mambo mengi kabisaaa jamaneeeeπ!Mad Max ni fungu la kutoa bokoo tu
Niwe na chakula kwanza,nipate zile dollari nyinginyingiii,,niangalie Mpira mkali wa Liver huku nashushia mziki mzuriMhhhοΌmbona maisha yatakua magumu π
Mi si nipo??? Alafu siku hizi tunafuata PGO mpaka mwisho ππ
Tayari BwanaBado hujaachika[emoji848]
Nilikuwa na mpango wa kukutumia hii inayoonyesha lote nikuulize ππGauni la 3 naliongeza kwenye ile list
Huwa anajibu na anachat vizuri tuHuwa anajibu[emoji848]
Nahisi ni Mod kama sio Paw
Combination haijakaa vizuri Boss. π Italeta msongo wa Mawazo.Niwe na chakula kwanza,nipate zile dollari nyinginyingiii,,niangalie Mpira mkali wa Liver huku nashushia mziki mzuri
Mungu anipe nini tena?
Weuweeee mdhunguuuπππ₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯Nilikuwa na mpango wa kukutumia hii inayoonyesha lote nikuulize ππView attachment 2385981
Stress zinatoka wapi na mziki upo?Combination haijakaa vizuri Boss. π Italeta msongo wa Mawazo.
Hasa hii ya uongo na ya kulitaja Jina la Bwana
Mhhh, Kweli kila mtu ana kitu chake cha kumpa amani π π π π π , Halafu mbona unataja hela ndefu ndefu tu πStress zinatoka wapi na mziki upo?
Yaani kwanza kukiwa na chakula na hela tu hapo nanenepa mbona.
Nikamate hata Dola elfu15.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mimi siji huko, labda utoke hapo nje kwenye mchicha mchicha pale π π π π
Na pesa ni jawabu la Mambo yote.Mhhh, Kweli kila mtu ana kitu chake cha kumpa amani π π π π π , Halafu mbona unataja hela ndefu ndefu tu π
Watu weuuuuweeeeeehhhhhhh πππππ€Έπ€Έ! Mulemuleeeee!!πAlcohol and football
Umeona eh, hapo hata kama kikinuka mi naweza jidai hilo shamba la mchicha ni langu na nipo kazini kumwagilia π π ππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Haya njoo...ntatoka π
Tunakula kinachopatikana balance diet utajua mwenyewee!! Hapa unachota chakula na sahani yakoo hakuna kuremba[emoji16]!
Baba Yolly Imekosekana free intanet tu
Karibuni tuuone mchana
Asanteeee βΊοΈβΊοΈβΊοΈWeuweeee mdhunguuuπππ₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Hili sasa naliweka namba mbili
Lile jeusi lipo palepale namba Moja.
Umependeza sana.
Nakwambia!! Tumbo limejaa balaa hapaaπWali ndondo