Selfika na JF: Snap it. Show it

Una hakika sio Luku sista? Ni PM meter number nikujaze wa buku 2.
 
🤣🤣
 
Naunga mkono hoja.
Tanesco inachofanya Arusha ni upumbavu wa kiwango cha Juu.
 
Naunga mkono hoja.
Tanesco inachofanya Arusha ni upumbavu wa kiwango cha Juu.
J3 asbh wamekata ofisini kutwa nzima,,nikarudi home wakakata saa 1 ukarudi saa 4 uck

J4 jana,, ofisini hawajakata .. nikarudi kitaa wakakata kama masaa mawili , na ninasikia usiku walikata zaidi ya mara 2.. kuna muda mm saa 9 nimeamka kususu hamna umeme.

Leo ndio kama kawaida, ofisini kutwa nzima,, kitaani masaa manne


Tumezoea🤣
 
Poleni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…