Kunakitu nilibeba kikahis maumiv kidole gumba nikakinyoosha na shughuli za kawaida zikaendelea shughuli ikaanza nilipotaka kusonga ugali maumivu makali mno nikapika kibishi Hadi kufikia usiku nikashindwa hta kunayanyua kikombe Cha chai kinaniuma balaa Na Wala hakijavimba nishaanza kukosa Raha aisee
View attachment 2384418