Umenikumbusha Chuo Fellowship.
Mwenyekiti wa Social matter akawa sijui anatangazq kitu gani..nadhani alikuwa anazungumzia kitengo chake Cha Social matter..Si akasema masuala yote ya kujamiiana Na mengine kama hayoπwatu kicheko
Mchungaji akamwambia badilisha bwana,kujamiiana ndio nini?
Akawaambia waumini kuwa Mwenyekiti ameteleza.