Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Halafu yanabembeleza hatariNaogopa mno
Nafuatilia kwa karibuSiachiki ng'oo
Nakamatia hapahapa iwe jua iwe mvua.
Kukaa kwenye mkeka panachosha,uno lote lawaka motoPametuliaaaaaa kinoma noma [emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Niko poa sanaMarhaba brother Mjep...... unaendeleaje
Green City[emoji1787][emoji1787]Mbeya ni moja miongoni mwa Miji iliyojengwa hovyo sana.
Kila mtu anajenga anapotaka,hakuna Barabara.
Lakini pametulia mnooo na panavutia kweli!!Kukaa kwenye mkeka panachosha,uno lote lawaka moto
Mambo[emoji41]Eendiwoooooooo msukuma!!!
[emoji1787]Hapo
Wige atakwambia
Kichwa
kama kichwa [emoji848][emoji848]!!
Poa sana Wigee!!Mambo[emoji41]
Kaka angu Sina hata picha mpyaNiko poa sana
Jiselfishe basi madam
SawA ccy nangojaUsitoke hapo sis akee wajua sinaga mbambambaa kabisaaaa!!!
Napita kama nilivooooooo!!!😘😘😘
Wee unazingua nataka selfiii yako bana sitaki majengo mie!!Post kodi
Dakika sifuri sis Usipepese hata kopeeee!!Nipo hapa nakungoja ccy
Nipo hapa ccy