Selfika na JF: Snap it. Show it

Umeanza fantasy zako mzabzab mie simooooo!!πŸ™ŒπŸ™ŒπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈ Nataka mzee mie Vijana mna mambo miambiliii kidogooo siwaweziii kabisa!!!!
 
Nipe hongera sio kyee, sasa hivi naitwa Mr flanii [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Baba cheupeeee!! Wauweeeehhhhh [emoji126][emoji126][emoji126][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]!!
Santo sana kuopoa chombo! Ndio mjomba utulie sasa uache bange zakooo uache mawenge yakoo wenawee![emoji3577][emoji3577]!!
 
Mako dinda mako stamina show show benderaa chuma mlingot chumaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
😁😁😁😁. Ninetulizwa kwakweli
Baba cheupeeee!! Wauweeeehhhhh πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€Έ!!
Santo sana kuopoa chombo! Ndio mjomba utulie sasa uache bange zakooo uache mawenge yakoo!✌️✌️!!
 
hujakosea mimi nimewafahamu jana kwenye tamasha la wakati wa Mungu.

wanaimba vizuri na kucheza yaani ..full shangwe tu ni kumsifu Mungu tu .
Fuatilia Album zao za zamani
Ni hatari..Sijui kwavile napenda nyimbo za zamani ila Katika AIC Chang'ombe hizi Mbili mm niliwapenda hawa.
Wale wengine upepo umefifia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…