Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
ππππππππ
ππππππππ
Huku wote saiiiii tushajifungiaa!! Ukichelewa kurudi njiani unakabwa vibakaaπππ!!
Ah sii lazima umfafiji mwana ili aendelee kutoa hiyo helaπ€£π€£π€£π€£Siwezi hata kidogo!!!π
Utashindwa kucheza amapiano ukiwa na kitambiHuo muda wa kukaa kuangalia mpira bora nilale niongeze kitambi
ππUtashindwa kucheza amapiano ukiwa na kitambi
Uwiiiiπ₯°π₯°π₯°
Fanya hivyo Kwa kweli sitoki ngβodoMekuthubiriiii weeeeeπππ!! Hayaa hapohapooo Usipepese hata kopeee Japo sina mpyaaa Ngoja nikuangalizie hapa!!
Kumfariji lazima...unataka afe na stress za tozo??? πAh sii lazima umfafiji mwana ili aendelee kutoa hiyo helaπ€£π€£π€£π€£
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Vibakaa washindweee IJN!!
Looking beautiful, nasubiri ukafunge kule nikasome!! Au tayari
Santo sana Katibu βοΈ!Looking beautiful, nasubiri ukafunge kule nikasome!! Au tayari
Yeah!!Santo sana Katibu βοΈ!
Kule anakosemea mzabzab??ππ
Nilienda maliwatoni jamaniππ
Why are doing this to me my love ππI donβt deserve this unajua