Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilale sasa [emoji7][emoji7] yolly yolly [emoji7][emoji7]
Ukiwa single wikiend unaona kama mei mosi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] View attachment 2380177
🀣🀣🀣58 min si 1 hour kijana? Mnaongea nini au kata kata weweπŸ™ŒπŸ»πŸ€£ au ndio anakufundisha haya maneno ya kutusema huku
 
Kiimani zaidi
Kumbukumbu la Torati 6:5-9
[5]Nawe mpende BWANA, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote.

[6]Na maneno haya ninayokuamuru leo, yatakuwa katika moyo wako;

[7]nawe uwafundishe watoto wako kwa bidii, na kuyanena uketipo katika nyumba yako, na utembeapo njiani, na ulalapo, na uondokapo.

[8]Yafunge yawe dalili juu ya mkono wako, nayo yatakuwa kama utepe katikati ya macho yako.

[9]Tena yaandike juu ya miimo ya nyumba yako, na juu ya malango yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…