Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Ukianza na ww kwann Uwe single mm yolly yolly π kashauteka moyo wanguNyie subirini siku ya kunyongwa
Siku ya watu single lini πππ
Ndoa lini Mdogo wangu,usinisahau mwalikoUkianza na ww kwann Uwe single mm yolly yolly π kashauteka moyo wangu
mtumie nauli aje huko , hayo ndo mapenzi .Hahaha yani hapa tu anataka aje huku kanimic dahh
NI call then niongee na mtu fulan nilaleπππ
11.11
ndo siku yetu hiyo
Nikupe mualiko ww πππsi bora niwe single tuNdoa lini Mdogo wangu,usinisahau mwaliko
duh pole , sijajiunga mitandao yote ..NI call then niongee na mtu fulan nilale
Oukyduh pole , sijajiunga mitandao yote ..
nina dakika za Airtel tupu
π€£π€£π€£Nikupe mualiko ww πππsi bora niwe single tu
Ha haaa ila katibu mtu mbadi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nyani NgabuHivi mnawachukuliaje wasukuma?
Wewe lazima nikuingize kundi la kunyongwaUkianza na ww kwann Uwe single mm yolly yolly π kashauteka moyo wangu
Wataelewa kweli hawa wajuaji wa kizazi hiki ?
Mwambie tutamchapaπππPoker Antonnia cocastic Beesmom mzabzab Saint Anne Carrasco putin Wigelekelo National Anthem myoyambendi Lizzy Depal Kelsea APEFACE Equation x Hziyech22
Nawasalimu kwa jina la Bwanaπ
Jamani huku kwetu sa hv kila siku umeme unakata Tanesco wanategeshea ule muda nmefika nyumbani ndo wanakata najiuliza sijui x wangu ndo ameanza kunikomesha maan ni haka kamtaa kangu peke akeππ miss y'llππππ
Njoo twende hadi hiko chumba Cha kukatia umeme tukambondeMwambie tutamchapaπππ