Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli mkuu sehem za ibada kwenda ni muhimu sana tusijisahau
Ni kweli aisee, Kuna wakati tunakuwa busy hata ibadani hatwendi Kwa kigezo Cha utafutaji.

Imagine tangu tumeanza kutafuta miaka Ile ya 72' tumevuna nini Cha zaidi? Mbaya zaidi hadi kwenye Umri huu wa Uzee bado tunatafutaπŸ™†
 
Hahaha Kuna pipo huwa hazitak kusikia msikit wala kanisa aisee
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ilo tutalizungumza pia mwambie sinatako akae ajue hilo
Tako mnatumia hata la Poker πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…