Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,586
- 96,248
hahahahaha,naenda photoshootJamaniiii๐๐๐! Hapo niendelee kupambana nahali yangu sasa๐๐
Lol ๐๐ผโโ๏ธ๐๐ผโโ๏ธ๐๐ผโโ๏ธ๐๐ผโโ๏ธ๐๐ผโโ๏ธ๐๐ผโโ๏ธ๐๐ผโโ๏ธ๐๐ผโโ๏ธ! Sifa wapi mkuu picha za kawaida sana!! Ni kwa msaada wa filters tu labda!Antonnia nina bahati mbaya best, kila nikiingia nakuta ushafuta picha. Nazikuta tu replies za wadau wakimwaga sifa.
Sio rahisi, kila nikiingia baada ya siku 2 nakuta sifa kibao. Hadi nimehisi napunjika. Leo nakita kambi hapa hadi nione hiyo pisi kali ambayo kila mtu anaisifia.Lol ๐๐ผโโ๏ธ๐๐ผโโ๏ธ๐๐ผโโ๏ธ๐๐ผโโ๏ธ๐๐ผโโ๏ธ๐๐ผโโ๏ธ๐๐ผโโ๏ธ๐๐ผโโ๏ธ! Sifa wapi mkuu picha za kawaida sana!! Ni kwa msaada wa filters tu labda!
Fanya kuibless Thursday Yangu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!๐
Mimi ushaona zangu nyingi hapahapa.Wakati tunasubiria Ngoja tumuombe mkuu Ngariba1 atubless one time basi sijakaa vizuri kabisa asubuhi hii
๐ณ๐๐๐๐๐๐๐ฅEendiwoooooooo sis akee!! Tunataka kuandaa harusi ya Saint Anne sis
Mwehh!! Kali wapi mkuu humu kila mtu tunamsifua sie hatuna tabu na mtu kabisaaa sie humu hata wewe ukitupia tunakusifia balaaaa!! That's our selfika family!!Sio rahisi, kila nikiingia baada ya siku 2 nakuta sifa kibao. Hadi nimehisi napunjika. Leo nakita kambi hapa hadi nione hiyo pisi kali ambayo kila mtu anaisifia.
Weeeehhh Hapana!! Sijabahatika kuona selfii yako hata moja mkuu nifanyie namna one time pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Mimi ushaona zangu nyingi hapahapa.
hahahahahaWakati tunasubiria Ngoja tumuombe mkuu Ngariba1 atubless one time basi sijakaa vizuri kabisa asubuhi hii
safi sanaMwehh!! Kali wapi mkuu humu kila mtu tunamsifua sie hatuna tabu na mtu kabisaaa humu hata wewe ukitupia tunakusifia balaaaa!! That's our selfika family!!
So ni trend ile ile ya kusifiana tu mkuu!
nami nasubiria yakoKabisaaa mjeda!! Ngariba1 nasubiria hapa ๐
๐๐๐๐๐
Sina hata mpya rafiki!! Nikipiga nitakuitanami nasubiria yako
Tuanze na wewe best. Tupia hata 1 tu asubuhi yangu iwe njema.Weeeehhh Hapana!! Sijabahatika kuona selfii yako hata moja mkuu nifanyie namna one time pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Hata mimi nasubiri yake.nami nasubiria yako
Huku tunasubiria wenye couple zao mjini jf wakuje kuchukua laki moja yao ausio!!nami nasubiria yako
atufanyie wepesi kwa kuweka hpHata mimi nasubiri yake.
Mmenigeuzia kibao tena!!๐๐๐ค๐ค!Tuanze na wewe best. Tupia hata 1 tu asubuhi yangu iwe njema.
naona kimya hadi muda huu,hawapo au hawataki?Huku tunasubiria wenye couple zao wakuje chukua laki moja yao ausio!!
Watakua bize nakazi ila watakuja tu!!naona kimya hadi muda huu,hawapo au hawataki?