Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapana babuu huko napaogopaaa!! Bhoke Awamu hii akuje mjini nayeye!! Msalimie sana bibii jamanii
Hahahahaha.........unaogopa wataku Ghecha πŸ€ͺπŸ€ͺ

Bibi yako nitamsalimia ingawa nayeye ana safari ya kwenda Mjini kusalimia Wajukuu zake, na ninavyo mjua atabaki kusalimia huko Mjini mpaka Mwakani πŸ™†

Upweke utaniua Babu yenu na hivi nimezoeshwa kuoga Maji ya Moto πŸ™†πŸ€ͺπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Ndio babuu naogopa kugechwaaaa!! Lol itabidi usafiri nae sasa unamuachaje bibi aende pekeake Lakini huko Mjini kumeharibika babu jipange muende wote Babu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…