Kazi sana, yani! Tukirudi ndani kuwa na mke mmoja ni swala la ustaarabu zaidi, ila mmoja unakaribisha stress, unaweza acha kila siku hasa kwa sie wengine wenye hasira kama rhino au nyati π π
Kazi sana, yani! Tukirudi ndani kuwa na mke mmoja ni swala la ustaarabu zaidi, ila mmoja unakaribisha stress, unaweza acha kila siku hasa kwa sie wengine wenye hasira kama rhino au nyati