πππ Nimemaliza kula dishi la bureVipi ushamaliza kulamba asaliππππ€π€π€
πππ Sio hadi uombwe hata wewe unaomba tu kirunguhahaha itakuwa vyote
akiomba atapewa ππ
sahihi kabisaπππ Sio hadi uombwe hata wewe unaomba tu kirungu
Huna baya mwenywe umeshiba zako unaangalia zako sinema zetu huku unamkonyeza dadaπππ Nimemaliza kula dishi la bure
Yes please πππ Nije nayo
Hapo pagumuTuma muamala
Sahani zimebadilika[emoji1787][emoji4]
Chawi wewe[emoji1787]L kwenye R
Wazalishe[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Mtoto mmoja atosha kwakweli sitaki bi mdashi nimzidishie team hapa home,
UmefuraaahiSahani zimebadilika[emoji1787]
late kweli kweli aiseeLate dinner
Yaani.late kweli kweli aisee
Cha muhimu kutoa huduma.Wazalishe
Imeandikwa Enendeni mkaijaze Nchi
Sasa bado mnashangashangaa[emoji848]