Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Maureen acha tu, alifanya nisitumie iPad maisha yangu hadi leo, kila nikiona iPad namuona.. wakati kanasoma chuo nili kahonga iPad piruuu.. Nikizionaga natonesheka picha inarudi
Doooohhh sijui na mm niwe na husiano na wewe nipewe MacBook proπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Pongezi kwa maurini kwa kupeperusha bendera vyema
 
Doooohhh sijui na mm niwe na husiano na wewe nipewe MacBook proπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Pongezi kwa maurini kwa kupeperusha bendera vyema
😟😟😟 Sasa hivi nakaaa nyumbani kwa mamaaa, nitakuchakazaaaa hata usitamanike tenaaa.. Vyeti feki si ndio sisi mzee mwenyewe alivyo tuchomoa tukarudi nyumbani, hata infinix siwezi toa sasa hivi.. Nime kamiss sana leo dah😊😊😊 sijui nako kame ni miss
 
Ncheke mieeeeeeπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†akukumbuke kwa lipi sasa jaman
Labla zile asali alizokua analambwa
 
Ncheke mieeeeeeπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†akukumbuke kwa lipi sasa jaman
Labla zile asali alizokua analambwa
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Ilikuwa enzi hizo kila jioni nakapeleka Steers... Aisee zamani sikuwa single na nilikuwa napenda nacare sasa hivi nimekuwa katili katili tuu,
 
Nyie watu mlio single mmelala au mnajifanya mpo kwenye mahusiano [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Nyie kupendwa raha naenda kuogeshwa nitarudi [emoji7][emoji7]
Upo single afu unatumia smartphone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…