National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
πππ Hapa nimekaa napiga maziwa fresh ya moooo.. kamua weka kwemye kombee na kiazi ( manumbu traamu), nyumbani ni nyumbani tuu.. Ivi mnakimbiaga kujitegemea mnakosa niniKweli bando la bimkubwa unalitendea hakiπ€
Unanenepeana mwenywe huna baya wala hudaiwi kodiπππushindwe mwnywe kunenepa kama kibokoπππ Hapa nimekaa napiga maziwa fresh ya moooo.. kamua weka kwemye kombee na kiazi ( manumbu traamu), nyumbani ni nyumbani tuu.. Ivi mnakimbiaga kujitegemea mnakosa nini
πππ Nataniana tu na dada wa kazi hapa, twacheza kidali pooUnanenepeana mwenywe huna baya wala hudaiwi kodiπππushindwe mwnywe kunenepa kama kiboko
[emoji12][emoji12]Ebu weka tuone [emoji846][emoji846][emoji19][emoji19] tujue kweli au ndio basi tena
Eee tufanyie hata zikiwa ndani ya braa[emoji12][emoji12]
We yako iko wapi?Watoto mnajua kujificha nyinyi!!
kwanini msiniachie au nyie sio binadamu wa kawaida!?
Sisi sio walimbwende sisi ni madume picha hazina umuhimu kwetuWe yako iko wapi?
Kumbuka wadada wa kazi vizazi viko karibu ukiitwa baba mapema hii sijui utamlisha nn huyo mtoto ππππ Nataniana tu na dada wa kazi hapa, twacheza kidali poo
Mtandao unasoma 4G+ nazionea huruma MB zetu za afumbiliiiiiiππ
π€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈ Sasa hivi zinaisha.. Napotea hewaniMtandao unasoma 4G+ nazionea huruma MB zetu za afumbiliiiiiiππ
πππ Uzuri mie home hawafukuzi mtu kuna Bro wangu mwingine hadi kao hapa hapa hadi kazeeka kama ukoo wote tunaishi hapa kazi kwetu mabepari hamtaki kukaa home mnaona aibu.. Mie hapa siondoki hata nioeKumbuka wadada wa kazi vizazi viko karibu ukiitwa baba mapema hii sijui utamlisha nn huyo mtoto π