Selfika na JF: Snap it. Show it

watu walikuwa wengi
yupo humble mtumishi huyo

siku nilipanda daladala la Mbagala aiseee watu wa kule wanaongea , hadi nashuka hapo njia ya panda kigogo nikasema eeh bora.
Jamaa hataki ubabaishaji kabisa
Huwa anawachimba beat watu wa media wakidelay kuidisplay picha na wasiposet sauti vizuri.

Unakuta watu nyuma wanashout kuwa hawasikii.. alooo anavyowasema watu wa media inachekesha sometimes
 
huwa hafoki kabisa ..
kama Mwl .Mwakasege

hapo ndo nachopendea wanyaki , mpo wakarimu ile mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…