Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Tunaweza kufanyia hapa tutawaomba wanaselfika wakae kimya kwa mudaπTunayafanyia hapa jukwaani?π
Tutafanya baadaye.. Sasahivi nipo busy na ratiba za ibada.
"Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi."Tunaweza kufanyia hapa tutawaomba wanaselfika wakae kimya kwa muda[emoji28]
Bina ShkamooDepal nna shida na wewe
Jingerπ€£π
wewe ndiyoMimi huyu huyu?...
π€²π€²
Ibada njemaTuwahi Kwa ApostleView attachment 2367584View attachment 2367585
Amen π₯°Ibada njema
utapokula keki ,upate miujiza yako.
kama kawaida seat ya mbeleTuwahi Kwa ApostleView attachment 2367584View attachment 2367585
Vikwapa vya watu mchana huu hapana Kwa kweliπ€£kama kawaida seat ya mbele
hahaha , urudi nyumbani kwa furaha .Vikwapa vya watu mchana huu hapana Kwa kweliπ€£
Na hivi nimechoka nimetoka kanisani.
oh wamechelewa kweli .Amen π₯°
Tunasubiri watoke wa ibada ya kwanza tuingie
Kwenye mchezo wa gololi wenye dungu anakaaa pembeni πππ
Wamechelewa mnooh wamechelewa kweli .
siku nilitembea toka tanganyika packers hadi Clouds , wengine wanafika ubalozi, Morroco kabisa
Kabisahahaha , urudi nyumbani kwa furaha .
itakuwa ndo maanaWamechelewa mno
Na purukushani za keki ndio kabisa..
ooh kweli dearKabisa
Kuhangaika mchana huu hapana Kwa kweli.
Nitapambana baadaye tukitoka hapa.