Na mtaachana tu, vina muda basi? MtaachanaKweli post zangu mpya na baby girl sweetheart wangu mpya txt zetu zichanganyikane na watu wa tecno, inifinix, oppo,hapana usiku mwema
Acha nikadekezwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnaolala kama panga muote ndoto mnakimbizwa na panya road [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
thanks nitafuta dose kali ya fluUsirudie kufanya hivyo zitakupa madhara makubwa baadaye
🥰Asante [emoji7]
Chukua Coldrillthanks nitafuta dose kali ya flu
hii huwa haipo strong
Afadhali umekujaAsante [emoji7]
Yummy yummy . Hapo unashiba mdogo wangu?[emoji3059]
Mpaka uweke ile naked yako kwanzaAfadhali umekuja
Selfika kwanza
Mpaka uweke ile naked yako kwanza
Nilibakiza nyingi😆Yummy yummy . Hapo unashiba mdogo wangu?
😉😉😉 Ivi jana sijaleta mboga kweliSiwezi ...ila usiwe unapeleka mboga kwa watu!😆😆😆😆
📞🤗🤗Haiwezekani 😁
I was about to call you 🙂
asante jana Mzee kanisimamia nilijfukiza ndo nikapata ahueniChukua Coldrill
Hauniiti ukiweka. Sasa weka leo nipo hapaUsinifanyie hivyo madam
Mbona naked zangu nimeweka mara kibao hapa
Pole. Ukiwa na njaa kikitokea kitu cha kukukera chakula hakipiti. Utachagua uache kula ama usukumie na maji.Nilibakiza nyingi[emoji38]
Kuna mtu alinivuruga nikashiba mapema
Poleasante jana Mzee kanisimamia nilijfukiza ndo nikapata ahueni
huwa yananiendesha hayo napiga tu chafya
Yaani[emoji23][emoji1787][emoji23]Pole. Ukiwa na njaa kikitokea kitu cha kukukera chakula hakipiti. Utachagua uache kula ama usukumie na maji.
mmh shida yanniPole
Kama mm tu.
Hadi huwa napata vidonda.
Bila dawa kali ni mtihani.