Disilaiki nimeitoa ila Sophia muache! Madokta mna soko sana sasa umekosa wooote huko hata wagonjwa wako huko umekuja kumdandia mpwa wangu? Tangu uandikiwe ile barua nakumaindi sana basi tu ππ¬
Aagh tatzo wewe na mjukuu wako mnambwela Sana
Yani Hadi Leo hamjafanya maamuzi tu? Hvi kwa mrembo Kama huyu sophy27 mnapata wapi ujasiri wa kusikilizia bila kufanya maamuzi Hadi mwaka unakatika huu?