Hongera sana shemeji. Hatimaye Mulangira naye kajitutumua dah! Ila sijui tukape na jina la Kisukuma ili kifanane na nduguze? Sasa Kokushubirwa mh!
Mungu Akabariki hako kamalaika na kukaongoza daima. Na nyie wazazi mkawe na hekima ya kukalea na kukaongoza katika mapenzi ya Mungu