Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika Kila MTU na mtuwe Mimi tu ndo nipo single
20220920_131834.jpg
 
🀠🀠🀠 Mkuu mie nalelewa na shangazi yenu.. Sitaki kufa mapema mapema na vijana wenzangu
Weeee usintanieeee 😳😳😳 Unasemaaaa???πŸ˜³πŸ˜³πŸ€”πŸ€”πŸ€” Kakalakeee mr vouuchaaaa kasema anataka mashemejii wenye hela usimtaniiieee !! 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Shangazi mwenyewe njaa kali tupu 🀣🀣
 
Kwarahaa zakoooo mjomba wangu anything for you mjomba akeeee!! Carrasco putin Piga kelele kwa anko anko akeeee... weeeeehhh weeeeeehh weeeeeuuuuweeeeeeeehπŸ’ƒπŸ’ƒ
Naneeeeeepa tu hapa, maisha si ndio hayaaa nilikuwa nayasaka toka kuumbwa kwa dunia 🀠🀠🀠🀠 acha niumwage moyoo wanguu wooote tu
 
Weeee usintanieeee 😳😳😳 Unasemaaaa???πŸ˜³πŸ˜³πŸ€”πŸ€”πŸ€” Kakalakeee mr vouuchaaaa kasema anataka mashemejii wenye hela usimtaniiieee !! 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Shangazi mwenyewe njaa kali tupu 🀣🀣
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Hela nitasaka Shangazi, nikizipata mie ndio umezipata wewe
 
Naneeeeeepa tu hapa, maisha si ndio hayaaa nilikuwa nayasaka toka kuumbwa kwa dunia 🀠🀠🀠🀠 acha niumwage moyoo wanguu wooote tu
Weeee sikushauriiii kuubwaga moyo woteeee kaa Mguu pande Hayanaga formula ujue usiseme sijakwambiaaaa!!🀣🀣🀣! Anaekupenda anakwambia ukweli mjomba ohoooooo!!!
Anyway enjoy each moment you get mjomba wangu maisha ndio hayahayaaaaaa 😍😍😘😘😘😘!!
 
Katibu akee Hustler one popote ulipo nakusalimia kwa jina la Selfikaaaa✌️✌️✌️✌️!!!

Mjumbe spidernyoka unaendeleaje na haliii?? Vipi usharikava?? Tumekumissssss pia mjumbee Hope you did get well nduguu if not ugua poleee!!
Shukrani mkemia nipo sawa soon tutakua pamoja sebleni hapa
 
Back
Top Bottom